CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesitisha kwa muda wa mwezi mmoja maandamano ya UKUTA yaliyopangwa kufanyika kesho nchini kote. Katika mkutano wa leo uliofanyika makao makuu ya chama hiko Kinondoni,Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Mbowe am… SOMA ZAIDI »
LOWASSA AANDIKA WARAKA KUHUSU OPERESHENI UKUTA...AELEZA JINSI SERIKALI NA POLISI WALIVYOJIPANGA KUUBOMOA UKUTA
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa ameandika barua kuhusu operesheni ya chama chake iliyopewa jina la Ukuta na jinsi ambavyo jeshi la Polisi na Serikali lilivyopanga ‘kuubomoa’. Katika waraka huo, Lowassa ameeleza kuwa ameamua kush… SOMA ZAIDI »
NDEGE ZA KIJESHI KUTAWALA ANGA LA DAR KESHO
Septemba mosi mwaka huu inataraji kuingia katika historia ya Tanzania kutokana na matukio ambayo yanataraji kufanyika siku hiyo, matukio hayo ni pamoja na sherehe za miaka 52 ya Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ), maandamano ambayo yamepangwa … SOMA ZAIDI »
MISS KINONDONI 2016 KUPATIKANA SEPTEMBA 2
Wanyange hao 20 wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya gari la kampuni hiyo. Meneja wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, Mr Rutha akizungumza na wanyange hao walipotembelea makao makuu ya Kampuni hiyo Mikochezni Dar es Salaam jana.Wa… SOMA ZAIDI »
Twiga kushiriki michuano ya wanawake ya chalenji
Wachezaji wa Twiga Stars Shirikisho la Mpira Miguu Tanzania TFF limethibitisha kwa CECAFA kuwa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania itashiriki michuano ya kwanza ya Kombe la Chalenji kwa wanawak… SOMA ZAIDI »
More than 3bn/- collected from two mobile phone firms in July
FOLLOWING amendments on the Finance Act 2016, the government has collected more than 3 billion/- from two telecommunications firms in the country in July alone.Speaking before the Infrastructure Development Parliamentary Committee, Assistant Ma… SOMA ZAIDI »
Viongozi wa upinzani wa Chadema kuhojiwa zaidi na polisi
Edward Lowassa ni miongoni mwa watakaofika polisi kuhojiwa zaidi Viongozi wa chama cha upinzani cha Chadema Nchini Tanzania walioshikiliwa jana jioni na kuhojiwa na jeshi la polisi na baadaye kuac… SOMA ZAIDI »
Mmoja wa makamanda wa IS auawa nchini Syria
Abu Muhammad al Adnani Kundi la wapiganaji la Islamic state limetangaza kuwa mmoja wa kamanda wake mwandamizi ambae ni msemaji wa kundi hilo, Abu Muhammad al-Adnani ameuwawa nchini Syria. Taari… SOMA ZAIDI »
Trump kuzuru Mexico licha ya msimamo mkali
Kwenye kampeni, Bw Trump amewaeleza wahamiaji wa Mexico wanaoingia Marekani kama "wahalifu" na "wabakaji" Mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump, amekubali mwaliko wa k… SOMA ZAIDI »
Kodi ya simu yazaa matunda
SHERIA ya Fedha ya Mwaka 2016 iliyopitishwa kuhusu utozaji ushuru kwenye ada ya kutuma na kupokea fedha kwenye miamala ya benki na simu, imeanza kuzaa matunda kutokana na ongezeko la mapato lililoanza kushuhudiwa kutoka kampuni za simu. Kamati … SOMA ZAIDI »
‘Maandamano ya Ukuta ni ndoto ya mchana’
MSOMI maarufu nchini, Profesa Benson Bana na mwanasiasa aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, Leticia Mosore wamesema maandamano yaliyopewa jina la Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (Ukuta), hayawezekani kwani ni ndoto ya mchan… SOMA ZAIDI »
Hatua 4 Muhimu Za Kukusaidia Kutoka Kwenye Madeni
Wapo watu wengi ambao huwa hawafikiri sana kwamba, kujiingiza kwenye madeni mengi ni kitu cha hatari. Watu hawa huja kugundua kwamba wapo kwenye hatari hiyo mara baada ya madeni hayo kuwalemea sababu ya wingi wake… SOMA ZAIDI »
Tatizo la kukosa choo watoto wadogo
Tatizo la kukosa choo watoto wadogo au kuwa na choo kigumu na jinsi ya kulitatua Watoto wadogo hasa wale ambao bado wananyonya na ndio kwanza wamenzishwa vyakula vinginevyo zaidi ya maziwa, mara nyingi hupatwa na choo kigumu au kukosa choo kabisa … SOMA ZAIDI »