CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo
CHADEMA kimesitisha kwa muda wa mwezi mmoja maandamano ya UKUTA
yaliyopangwa kufanyika kesho nchini kote.
Katika mkutano wa leo uliofanyika makao
makuu ya chama hiko Kinondoni,Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Mbowe amesema
kuwa maandamano hayo wameyasoigeza mbele hadi mwezi wa 10 tarehe 1.
Habari kamili ijakuijia hivi punde endelea kufuatilia nasi
Post a Comment