Del Bosque:Tumeona tusimshirikishe kwa mechi ya pili dhidi ya Ukraine.
''Hachezi vibaya'',Del Bosque alisema kuhusu Costa,na kuongezea kwamba Uhispania itamshirikisha katika mechi za usoni iwapo kila kitu kitakwenda sawa.
Costa pia anahudumia marafuku ya mechi tatu nchini Uingereza kwa kusababisha ghasia katika ushindi wa Chelsea dhidi ya Arsenal baada ya kuweka mikono yake katika uso wa mlinzi Laurent Koscielny.
''Sikupendelea kile nilichokiona'',Del Bosque alisema kuhusu kisa hicho.''Sipendelei kile Costa alichokifanya''.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.