Liverpool inapanga dau la £10m kumnunua winga wa Nigeria mwenye umri wa miaka 22 Moses Simon kutoka klabu ya Gent. (Liverpool Echo)
Image captionLiverpool inapanga dau la £10m kumnunua winga wa Nigeria mwenye umri wa miaka 22 Moses Simon kutoka klabu ya Gent. (Liverpool Echo)
Leicester inaongoza katika kumsajili kiungo wa kati wa Norwich James Maddison, 21, huku klabu hiyo ikitaka kupewa zaidi ya £20m ili kumuuza raia huyo wa Uingereza. (PA)
Leicester imeanzisha mazungumzo ya kutaka kumsaini beki wa Ireland kaskazini Jonny Evans, 30, ambaye anapatikana kwa dau la £3m baada ya kushushwa daraja na klabu ya West Brom. (Mirror)
West Brom imekataa ombi la £4m kutoka kwa klabu ya Stoke kumsaini winga wa Ireland Kaskazini James McClean, 29. (Birmingham Mail)
Chelsea, Tottenham na West Ham wote wanataka kumsaini mshambuliaji wa West Brom Salomon Rondon, 28, ambaye anapatikana kwa kitita cha £16m. (Mirror)
Image captionChelsea, Tottenham na West Ham wote wanataka kumsaini mshambuliaji wa West Brom Salomon Rondon, 28,
Wolves imeanza mazungumzo ya kutaka kumsaini beki wa kulia wa Valencia Joao Cancelo, 24, na dau la £35m tayari linajadiliwa kumchukua raia huyo wa Ureno. (Sky Sports)
Mkurugenzi mpya wa kandanda Marcel Brands anasema kuwa klabu hiyo itajaribu kuwauza hadi wachezaji 12 msimu huu (Mirror)
Watford itakataa na winga wake mwenye thamani ya £40m- Richarlison iwapo mkufunzi mpya wa Everton Marco Silva atamuhitaji mchezaji huyo raia wa Brazil mwenye umri wa 21. (Evening Standard)
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionAliyekuwa beki wa zamani wa klabu ya Real Madrid fernando Hierro
Aliyekuwa beki wa Real Madrid Fernando ...Read more »
Image captionMwandishi wa habari wa Ghana Anas Aremayew Anas akihojiwa na wanahabari kuhusu makala yake ya upelelezi yaliochukua miaka miwili
Takriba...Read more »
Haki miliki ya pichaSPORTPESA
Mabingwa wa ligi ya Tanzania bara Simba wametinga fainali ya michuano ya Super Cup ya kampuni ya Sportspesa baada ya ku...Read more »
Mwanamasumbwi wa Marekani Floyd Mayweather ametetea taji lake katika porodha ya Forbes ya wanamichezo wanaopata mapato ya juu zaidi duniani.
...Read more »
Mshambuliaji wa Liverpool na Senegal Sadio Mane, 26, alikubali kujiunga na Real Madrid kabla ya Zinedine Zidane kujiuzulu kama kocha wa mabingwa hao...Read more »
Post a Comment
aprieztmkrdezign
218168578325095
Emoticon
Click to see the code! To insert emoticon you must added at least one space before the code.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.