Hii ni moja kati ya stori kubwa
zilizoingia katika headlines October 2 katika vyombo vingi vya habari za
michezo duniani, stori kutoka katika mtandao wa 90min.com umeripoti kuvuja kwa majina 59 ya wachezaji watakaoshiriki katika tuzo ya mchezaji bora wa Dunia 2015/2016.
Hii ni list kutoka katika mtandao wa 90min.com ambapo inaidaiwa kuvuja kutoka katika gazeti la Hispania Mundo Deportivo, licha ya kuwa FIFA bado hawajatangaza majina ya wachezaji watakaowania tuzo ya Ballon d’or 2015, Hii ni list ya majina 59 ya wachezaji wanaotajwa kuwania tuzo ya Ballon d’or 2015. Majina haya yaliyotajwa mshindi atatangazwa January 11 2016 Zurich Uswiss.
Barcelona: Claudio Bravo, Javier Mascherano, Andres Iniesta, Lionel Messi, Ivan Rakitic, Neymar, Luis Suarez. Real Madrid: Gareth Bale, Karim Benzema, Sergio Ramos, Cristiano Ronaldo, Luka Modric, James Rodriguez, Toni Kroos.
Juventus: Giorgio Chiellini, Paul Pogba, Alvaro Morata.New York City: Andrea Pirlo. Boca Juniors: Carlos Tevez. Bayern Munich: Arturo Vidal, Robert Lewandowski, Arjen Robben, David Alaba, Thomas Muller, Manuel Neuer. Manchester City: Wilfried Bony, Yaya Toure, Sergio Aguero, Nicolas Otamendi, Kevin de Bruyne.
Chelsea: Diego Costa, Willian, Thibaut Courtois, Eden Hazard. Paris Saint-Germain: Edinson Cavani, Zlatan Ibrahimovic, Javier Pastore. Manchester United: Wayne Rooney, David de Gea, Memphis Depay. Arsenal: David Ospina, Alexis Sanchez.Atletico Madrid: Antoine Griezmann, Jackson Martinez.
Tottenham: Son Heung-min, Harry Kane. Milan: Carlos Bacca. LA Galaxy: Giovani dos Santos.Liverpool: Philippe Coutinho. Bournemouth: Christian Atsu. Corinthians: Paulo Guerrero.Hoffenheim: Eduardo Vargas. Internazionale: Gary Medel. Lyon: Alexandre Lacazette. PSV Eindhoven: Andres Guardado. River Plate: Carlos Sanchez. Swansea: Andre Ayew. Swindon Town: Massimo Luongo. Leicester City: Shinji Okazaki.
Post a Comment