Askofu Olaf Charamsa
Siku moja kabla
mkutano wa Vatikani wa maaskofu wa kanisa Katoliki kuhusu familia,
kasisi mmoja wa daraja ya juu, amedhihirisha kuwa yeye ni kati ya watu
wanaopendelea uhusiano wa jinsia moja, na sasa ana mpenzi.
Msemaji
wa Vatikani, alisema Kryzsztov Olaf Charamsa ambaye anatoka Poland,
hawezi tena kuwa katika ofisi ya Vatikani inayotetea itikadi ya
Kikatoliki.
Papa Charamsa alisema msimamo wa Kanisa hilo kuhusu jamii ya jinsia moja ni wa kizamani.
Alisema, kanisa linafaa kutambua maingiliano ya jinsia moja, na siyo kuyalaani.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.