Haki miliki ya pichaBBC SPORTImage captionWachezaji wa Liverpool wakishangilia ushindi
Michuano ya klabu bingwa barani Ulayani, hatua ya robo fainali inaendelea usiku wa kuamkia leo. Michezo miwili imepigwa ambapo Barcelona wakiwa nyumbani dhidi ya As Roma wamepata ushindi wa mabao 4-1.
Mabao ya Barcelona katika mchezo huo, yamefungwa na wachezaji De Rossi ,Kostas Manolas ambao walijifunga wenyewe.Goli la tatu limefungwa na Gelard Pique huku bao la nne likipachikwa na Luis Suarez, bao la kufutia machozi la As Roma likifungwa na Edin Dzeko.
Katika mchezo mwingine Liverpool wao wamewachapa bila huruma vinara wa ligi kuu ya England Manchester city bao 3-0, Magoli ya Liverpool yamefungwa na Mohamed Salah, Oxlade Chamberlin pamoja na Sadio Mane.
Kwa matokeo hayo Barcelona inaungana na timu za Liverpool, Buyen Munich na Real Madrid katika hatua ya nusu fainali baada ya Real Madrid kushinda mchezo wao bao 3-0 dhidi ya Juventus na Bayen Munich wakifanikiwa kupata ushindi wa nabao 2-1.
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionAliyekuwa beki wa zamani wa klabu ya Real Madrid fernando Hierro
Aliyekuwa beki wa Real Madrid Fernando ...Read more »
Image captionMwandishi wa habari wa Ghana Anas Aremayew Anas akihojiwa na wanahabari kuhusu makala yake ya upelelezi yaliochukua miaka miwili
Takriba...Read more »
Haki miliki ya pichaSPORTPESA
Mabingwa wa ligi ya Tanzania bara Simba wametinga fainali ya michuano ya Super Cup ya kampuni ya Sportspesa baada ya ku...Read more »
Image captionAliyekuwa kocha wa Ufaransa na PSG Laurent Blanc
Chelsea inakaribia kumsajili aliyekuwa kocha wa Ufaransa na PSG Laurent Blanc kuchukua ...Read more »
Mwanamasumbwi wa Marekani Floyd Mayweather ametetea taji lake katika porodha ya Forbes ya wanamichezo wanaopata mapato ya juu zaidi duniani.
...Read more »
Mshambuliaji wa Liverpool na Senegal Sadio Mane, 26, alikubali kujiunga na Real Madrid kabla ya Zinedine Zidane kujiuzulu kama kocha wa mabingwa hao...Read more »
Post a Comment
aprieztmkrdezign
218168578325095
Emoticon
Click to see the code! To insert emoticon you must added at least one space before the code.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.