Wachezaji wa Everton wakimpongeza Gylfi Sigurdsson baada ya kufunga bao la pili katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Swansea City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana disemba 18 Uwanja wa Goodison Park mjini Liverpool.
Mabao mengine ya Everton yalifungwa na Dominic Calvert-Lewin dakika ya 45 na ushei na Wayne Rooney kwa penalti dakika ya 73, wakati la Swansea lilifungwa na Leroy Fer dakika ya 35 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Post a Comment