Mwaandishi wetu
TIMU ya Kisarawe fc imiifunga Shupavu ya Morogoro FC , magoli 2-1 katika mchezo wa ligi daraja la pili kituo cha Lindi , uliofanyika juni 18,2017 uwanja wa mpira wa miguu wa Ilulu Lindi.
Katika mchezo huo,uliochezeshwa na Salehe chakupewa shupavu FC ndiyo ilikuwa ya kwanza kujipatia bao lililowekwa wavuni kwenye dakika ya 13.
michezo inayopigwa hapa Lindi ni ligi daraja la pili inayokutanisha mabingwa wa mikoa kituo cha Lindi
Post a Comment