Habari
zilizotufikia hivi punde zinasema jengo la Clouds Media linaungua moto.
Inaelezwa kuwa sehemu ya jengo hilo imeshika moto na uokoaji
unaendelea. Taarifa za awali zinasema moto huo umetokana na hitilafu ya
umeme kwenye chumba cha kurushia matangazo cha Clouds TV.
Post a Comment