Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye amekutana na wadau wa habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo mkoani Shinyanga jana Aprili 15,2016 katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga.
Akizungumza na wadau hao baada ya
kusikiliza michango ya wadau hao zikiwemo kero zinazowakabili,alisema
wizara yake imedhamiria kuleta mapinduzi ya kweli katika maeneo hayo
manne katika wizara hiyo.
Alisema hivi sasa anazunguka katika mikoa mbalimbali nchini na kukutana na wadau wa wizara yake kwani lengo ni kutaka kuipeleka wizara hiyo kutoka Dar es salaama kwenda mikoani kwani ndiko kuna wadau wengi.

Kaimu mkuu wa mkoa wa Shinyanga Josephine Matiro ambaye ni mkuu wa wilaya ya Shinyanga akizungumza katika mkutano huo
Wadau wa habari,michezo,sanaa na utamaduni wakiwa ukumbini
Mkutano unaendelea
Wadau wa habari,michezo,sanaa na utamaduni wakiwa ukumbini
Wadau wakiwa ukumbini
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.