0
Tokeo la picha la LOAN
Kama mabadiliko ya Bodi ya Mikopo ya kukata asilimia 15 ya mshahara yatapitishwa, hivi ndivyo itakavyokuwa:

1.Daktari anayeanza kazi mshahara ni sh. 1,500,000/=
Makato ya bodi ya mikopo asilimia 15 ni shilingi 225,000/=.

2.Mwalimu anayeanza kazi mshahara ni sh. 720,000/=
Makato ya bodi ya mikopo itakuwa sh. 108,000/=

3.Anayepokea mshahara wa sh. 1,000,000/=
Atakatwa sh. 150,000/=

4.Anayepokea mshahara wa sh. 600,000/=
Atakatwa sh. 90,000/=.

5.Anayepokea mshahara wa sh. 500,000/=
Atakatwa sh. 75,000/=

NB:
Hayo yatakuwa makato ya bodi ya mikopo tu, bado makato mengine kama PAYE, BIMA YA AFYA, VYAMA VYA WAFANYAKAZI, MIKOPO MINGINE

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top