Watu 19
wameripotiwa kuuwawa nchini Japan baada ya mtu mmoja kuwashambulia kwa
kisu katika kituo kimoja cha walemavu, kilichoko katika mji wa
Sagamihara, magharibi mwa mji mkuu Tokyo. Zaidi ya watu 20 wamejeruhiwa.
Ripoti
nchini Japan zinasema kuwa mtu mmoja ambaye alikuwa akifanya kazi
katika kituo hicho, alijipeleka hadi kituo cha polisi na kukiri kuwa
ndiye aliyetekeleza mauwaji hayo ya kutisha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment