0

Mlipuaji wa kujitolea muhanga ameligongesha
gari lake na lile la kijeshi katika mji mkuu wa
Somalia Mogadishu na kusababisha mlipuko
mkubwa.
Ripoti zinasema kwamba takriban watu 12
waliuawa na wengine kujeruhiwa wengi
wakiwa raia.
Shambulizi hilo lilitokea karibu na ubalozi wa
falme za kiarabu UAE
Vyombo vya habari nchini Somalia vimeripoti
kwamba balozi amenusurika mlipuko huo
ambao umeutaja kama jaribio la mauaji.

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top