0

Suala la utitiri wa wagombea ndani ya
chama tawala cha mapinduzi CCM nchini
Tanzania katika mchakato wa kuwania
nafasi ya urais kwa tiketi ya chama hicho
katika uchaguzi mkuu mwezi Oktoba,
linatajwa na baadhi ya duru kuwa ni tatizo
kubwa hivi sasa ndani ya chama hicho na
huenda likaibuwa mivutano. Hadi sasa
makada waliojitokeza kuwania nafasi hiyo
katika chama hicho ni 39. Wakati wengine
wanasema ni kukomaa kwa demokrasi, kuna
wanaopingana na mtazamo huo.

Post a Comment

 
Top