Mahakama Kuu ya Tanzania imeamuachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Issa Ponda dhidi ya rufaa iliyokatwa na Jamhuri kupinga hukumu ya Mahakama ya Morogoro kumuachia huru kiongozi huyo.Sheikh Ponda ameachiwa huru leo mbele ya Jaji Johnson Mkasimongwa ambaye amesema anakubaliana na uamuzi wa Mahakama ya Morogoro ya kumuachia huru Sheikh Ponda katika kesi ya kutoa lugha ya uchochezi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment