0
masomo yanafundishwa kwa vitendo na vifaa vya kujifunzia vipo
mazingira  ni rafiki kwa masomo

Nafasi za Masomo ya Ufundi kwa Ngazi ya Diploma Katika Chuo cha KIITEC

Chuo cha Teknolojia na ufundi KILIMANJARO INTERNATIONAL INSTITUTE FOR TELECOMMUNICATIONS ELECTRONICS AND COMPUTERS ‘KIITEC’ kilichopo Arusha kinawatangazia wahitimu wote wa shule ya Sekondari, nafasi za kujiunga na kozi za diploma na cheti.

Chuo kinatoa diploma inayotambuliwa na NACTE kwa usajili  REG/EOS/027 kwenye michepuo ya:

》Telecommunications Engineering  
》Computer Engineering
》Industrial Electrical Automation

Na kozi ya cheti kwa masomo ya
》IT & SECURITY

Vigezo vya kujiunga na kozi za diploma:
●Mwombaji awe amemaliza kidato cha 4 au 6,
●Awe na angalau D kwenye masomo ya Sayansi.

Kujiunga:
Tembelea tovuti yetu ya www.kiitec.ac.tz 
Au fika chuoni Moshono Arusha

Mawasiliano.
0752 283 808 au 
0757 845 118

Post a Comment

 
Top