0
Kesho tarehe 9 Dec. ni siku kuu ya Uhuru!! Rais wa awamu ya tano John Magufuli alitangaza badala ya siku hiyo kuadhimishwa kama ilivyozoeleka, wananchi waitumie kufanya usafi katika maeneo yao ikiwa ni moja ya kupambana na ugonjwa wa Kipindupindu.
Leo Serikali imetoa utaratibu wa namna ya kuadhimisha siku hiyo, ambapo katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue amesema endapo wafanyakazi watakuwa na kazi muhimu maofisini wanaweza kwenda kama kawaida , vinginevyo washiriki kufanya usafi katika maeneo yao.
Taarifa hiyo ilisomeka hivi..
dayyy

Post a Comment

 
Top