Idadi ya wajumbe walioshiriki kupiga kura
chama cha cuf madiwani 18 na wabunge 2 wa cuf na wa viti maalum wa chadema
chama cha ccm wadiwani 9
jumla ya wajumbe wote 29
WALIOGOMBEA NAFASI
YA MWENYEKITI
1.HAMIDU SAIDI NOLELE
KUTOKA CCM ALIPATA KURA 09
2.MTESA MOHAMEDI
RASHIDI KUTOKA CUF ALIPATA KURA 20
MAKAMU MWENYEKITI
1.SAIDI MSHAMU
MBELEKAGE KUTOKA CCM ALIPATA KURA 09
2.MTEGITE MUSTAPHA
YASSINI KUTOKA CUF ALIPATA KURA 20
Mwenyekiti wa muda katika Baraza la Madiwani hii leo alikuwa Katibu
tawala wa halmshauri ya wilaya Liwale bwana Wilson Jacob nyamange aliwatangaza washindi wawili wa nafasi ya Mwenyekiti
wa Halmashauri ndugu Mtesa Mohamedi
Rashidi kutoka chama cha CUF ayepata kura 20 na makamu mwenyekiti ndugu Mtegite
Mustapha Yassini kutoka chama cha
CUF ayepata kura 20
Mtesa Mohamedi Rashidi alisema ajivunii kuwa chama chake
cha Cuf anawajumbe wengi bali
anawashukuru sana kwa kumchagua na amewahaidi kufanya kazi kwa ushirikiano na ametambua
kuwa na utofauti wa vyama lakini wakiingia kwenye ukumbi wa Halmashauri tofauti
zao ziishie mlangoni kinachotakiwa ni kufanya kazi ya wananchi bila kujali
chama pia aliwaomba madiwani kuwa na nidhamu ikiongozwa na kanuni lazima
kuheshimu kanuni ili kuweza kuwatumikia wananchi.
Mtegite Mustapha
Yassini ambaye Makamu
mwenyekiti aliwashukuru madiwani wote kwa kumpa kura na kumchagua kwa kishindo amehadi kufanya kazi
na kushirikiana na mwenyekiti pamoja na wadiwani wote kwa moyo wa dhati.
Madiwani na wakuu wa idara mbalimbali wa Halmashauri ya wilaya ya Liwale mkoani Lindi wakiwa kwenye baraza la madiwani hii leoMbunge wa jimbo la Liwale mh. Zuberi Kuchauka wa upande wa ( kulia) na mbunge wa viti maalum wa jimbo la Liwale kupitia chama cha Chadema mh.Lathipha Kigwalilo aliyekaa katikati
waheshimiwa madiwani wakiwa kwenye baraza la madiwani lilifanyika hii leo kwenye ukumbi wa mikutano bomani
waheshimiwa madiwani wakiwa kwenye baraza la madiwani lilifanyika hii leo kwenye ukumbi wa mikutano bomani
waheshimiwa madiwani wakiwa kwenye baraza la madiwani lilifanyika hii leo kwenye ukumbi wa mikutano bomani
waheshimiwa madiwani wakiwa kwenye baraza la madiwani lilifanyika hii leo kwenye ukumbi wa mikutano bomani wakiwa kwenye zoezi la upigagi kura
waheshimiwa madiwani wakiwa kwenye baraza la madiwani lilifanyika hii leo kwenye ukumbi wa mikutano bomani
mwanasheri wa halmashauri akiwa na mkurugenzi wakisimamia kuhesabu kura za kumpata mwenyekiti wa halmashauri pamoja na makamu mwenyekiti
baada ya kutangazwa matokeo mwenyekiti na makamu wake wa halmashauri ya Liwale,mh.
Mtesa Mohamedi Rashidi aliyevaa koti jeusi wa upande wa kushoto akipongezana na makamu mwenyekiti mh.Mtegite Mustapha
Yassini
mwenyekiti wa halmashauri ya halmashauri ya Liwale akitoa shukurani kwa waheshimiwa wajumbe wote huku akisisitiza ushirikiano na kuomba kuacha tofauti zao za uchama wakiwa kwenye majukumu ili kuweza kufanyikiwa kuwatumikia wananchi
makamu mwenyekiti wa halmashauri ya halmashauri ya Liwale akitoa shukurani kwa waheshimiwa wajumbe wote huku akisisitiza ushirikiano na akiwajulisha wajumbe kuwa ameamua kufanya kazi nyumbani Liwale alikozaliwa
Huyu Diwani anayekadiliwa kuwa na umri mdogo kupitia chama cha Cuf
Post a Comment