0
 Askari polisi wakishiriki kikamilifu katika zoezi la usafi hii leo maeneo mbalimbali hapa maeneo ya soko la Liwale

 Wananchi wakishiriki kikamilifu katika zoezi la usafi hii leo maeneo mbalimbali hapa maeneo ya soko la Liwale
 Askari polisi wakishiriki kikamilifu katika zoezi la usafi hii leo maeneo mbalimbali hapa maeneo ya soko la Liwale
 Wafanyabiashara wa soko dogo la ZAIN wakishiriki kikamilifu katika zoezi la usafi hii leo maeneo mbalimbali  maeneo ya soko la Liwale
 wafanyabiashara  wakishiriki kikamilifu katika zoezi la usafi huku wakichimba mashimo ya kuhifadhia takataka
wanawake pia wakishiriki kikamilifu katika zoezi la usafi hii leo maeneo mbalimbali hapa maeneo ya soko la Liwale

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Liwale mh,Mtesa Mohamedi Rashidi akishiriki kikamilifu katika zoezi la usafi hii leo maeneo mbalimbali hapa maeneo ya soko la Liwale
  Mwenyekiti wa Halmashauri ya Liwale mh,Mtesa Mohamedi Rashidi akishiriki kikamilifu katika zoezi la usafi hii leo maeneo mbalimbali hapa maeneo ya soko la Liwale

Mkuu wa wilaya ya LiwaleEphraim Mmbaga mh, akishirikiana na watumishe mbalimbali katika zoezi la usafi
  Mkuu wa wilya ya Liwale mh,Ephraim Mmbaga wa upande wa kulia akishiriki kikamilifu katika zoezi la usafi hii leo maeneo mbalimbali hapa maeneo ya soko la Liwale
 Mbunge wa jimbo la Liwale mh,Zuberi Kuchauka akishiriki pia katika kampeni ya usafi
 Jeshi la polisi na wafanyakazi wa halmashauri ya wilaya ya Liwale wakishirikiana katika kampeni ya usafi
 watumishi wa ofisi ya Elimu ya wilaya wakifanya usafi hii leo

  Mwenyekiti wa Halmashauri ya Liwale mh,Mtesa Mohamedi Rashidi,DC  wakishiriki kikamilifu katika zoezi la usafi hii leo maeneo mbalimbali hapa maeneo ya hospitali ya wilaya ya Liwale
 Maduka na migahawa alikuwa imefungwa mapaka saa 4 asubuhi lengo kushiriki zoezi la usafi

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Liwale mh,Mtesa Mohamedi Rashidi akiwashukuru wananchi walioshiriki kikamilifu katika zoezi la usafi hii leo

 Mbunge wa Jimbo la  Liwale mh,Zuberi Kuchauka akiongea na wananchi walioshiriki kikamilifu katika zoezi la usafi hii leo
 wanachi walioshiriki zoezi la usafi wakisikiliza majumuisho ya zoezi zima la usafi

 wanachi walioshiriki zoezi la usafi wakisikiliza majumuisho ya zoezi zima la usafi
 Mkuu wa wilaya ya Liwale mh,Ephraim Mmbaga akiongea na wadau walioshiriki katika zoezi la usafi hii katika viwanja vya soko kuu wilayani Liwale
  wanachi walioshiriki zoezi la usafi wakisikiliza majumuisho ya zoezi zima la usafi
  wanachi walioshiriki zoezi la usafi wakisikiliza majumuisho ya zoezi zima la usafi
 Jeshi la polisi wakimsikiliza mkuu wa wilaya kwenye hutuba fupi ya kuwashukuru wadau walioshiriki katika zoezi zima la usafi hii leo
  wanachi walioshiriki zoezi la usafi wakisikiliza majumuisho ya zoezi zima la usafi

  Mkuu wa wilaya ya Liwale mh,Ephraim Mmbaga akiongea na wadau walioshiriki katika zoezi la usafi hii katika viwanja vya soko kuu wilayani Liwale
  wanachi walioshiriki zoezi la usafi wakisikiliza majumuisho ya zoezi zima la usafi
  Mkuu wa wilaya ya Liwale mh,Ephraim Mmbaga akiongea na wadau walioshiriki katika zoezi la usafi hii katika viwanja vya soko kuu wilayani Liwale.Mh, Mmbaga ametoa agizo la kuwata wanafanyabishara wote kila mwisho wa juma la mwezi siku ya alhamisi kufunga maduka ili kufanya usafi,usafi utakaoanza saa 12 asubuhi na kuishia saa 2 na nusu asubuhi.
Pia alitoa agizo jingine kila mfanyabiashara kuweka kifaa cha kutunzia taka katika eneo lake na atayetupa taka ovyo akikamwatwa atatakiwa kulipa faini ya shilingi 10,000/= atoa hii tenda kwa vikundi vya  vilivyosajiliwa katika halmashauri ya Liwale alibainisha atayekamatwa na kulipa faini halmashauri itapata elfu tano na makamataji atapata shilingi elfu tano.

  wanachi walioshiriki zoezi la usafi wakisikiliza majumuisho ya zoezi zima la usafi
 wanachi walioshiriki zoezi la usafi wakisikiliza majumuisho ya zoezi zima la usafi

Post a Comment

Top