0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa Israel Avigdor Lieberman Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais Magufuli akiwa katika kikao na ujumbe kutoka nchini Israel uliokuwa ukiongozwa na Waziri wa Ulinzi wa Israel Avigdor Lieberman Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Magufuli akisalimiana na Waziri Avigdor mara baada ya kuwasili Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.

PICHA NA IKULU


Post a Comment

 
Top