Ulimwengu unapoendelea kusherehekea kufika kwa mwaka mpya wa 2018, sherehe za aina yake zimekuwa zikifanyika miji mbalimbali mashariki hadi magharibi.
Picha hizi ni za jinsi hali ilivyokuwa miji mbalimbali.
Haki miliki ya pichaAFP/GETTY IMAGESImage captionHapa ni katika ufukwe wa Nungwi visiwani Zanzibar, Tanzania. Watu hawa wanaonekana kuwa tayari sana kuukaribisha mwaka mpya wa 2018.Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionYogyakarta, Indonesia, fataki zilitanda angani mshale wa saa ulipogonga saa tisa usikuHaki miliki ya pichaEPAImage captionHapa ni katika Bandari ya Victoria nchini Hong KongHaki miliki ya pichaEPAImage captionJumba refu sana la Petronas Towers nalo liliangazwa kwa fataki Kuala Lumpur, MalaysiaHaki miliki ya pichaREUTERS / ANTARAImage captionTukirudi Indonesia tena, taa zenye puto ziliwashwa na kupeperushwa angani katika hekalu la BorobudurHaki miliki ya pichaEPAImage captionNa katika jumba la ghorofa la 123 la Lotte World Tower, Seoul, Korea Kusini, hali haikuwa tofauti sanaHaki miliki ya pichaEPAImage captionCairo nchini Misri, Santa Claus alipiga kengele sokoni kutangaza kufika kwa mwaka mpyaHaki miliki ya pichaREUTERS / ANTARAImage captionMjini Jakarta, eneo la katikati mwa jiji fataki zilirushwa kila pahaliHaki miliki ya pichaEPAImage captionNchini Singapore, Marina Bay ndicho kilichokuwa kitovu cha shereheHaki miliki ya pichaREUTERSImage captionMarekani wakazi walikuwa miongoni mwa watu wa mwisho kuukaribisha Mwaka Mpya. Katika Times Square, New York, wawili hawa walivumilia baridi kali kuusubiri Mwaka MpyaHaki miliki ya pichaEPAImage captionSydney Harbour, maonesho haya ya fataki maarufu sana yalikuwa miongoni mwa matukio ya kuukaribisha mwaka ambayo yalioneshwa kwenye runinga pande mbalimbali dunianiHaki miliki ya pichaEPAImage captionNa mbali kidogo kusini mashariki Melbourne pia walisherehekeaHaki miliki ya pichaAFPImage captionMabuddha katika hekalu la Kelaniya nchini Sri Lanka waliomba kuukaribisha Mwaka MpyaHaki miliki ya pichaAFPImage captionMjini Istanbul nchini Uturuki wakazi walijitokeza barabarani kusherehekea wakisubiri kuvuka mwakaHaki miliki ya pichaAFPImage captionChamps-Élysées mjini Paris watu walifurika kama siafuHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionJijini London saa ya Big Ben ililia mshale wake wa saa ulipogonga saa sita usiku, licha ya kwamba bado inafanyiwa ukarabati mkubwaHaki miliki ya pichaAFPImage captionNa katika ufukwe maarufu wa Copacabana, Rio de Janeiro, wengi walikusanyika kuburudika na kuukaribisha mwaka mpya kwa shangwe
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wasikubali kuchonganishwa na kwamba Serikali haiongozwi kwa misingi ya kidini bali imeziachia ta...Read more »
MKURUGENZI wa Huduma na Elimu kwa mlipa kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Richard Kayombo akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kigom...Read more »
Mshehereshaji wa Mdahalo wa Kitaifa wa Kilimo cha kisasa kinachozingatia mabadiliko ya tabia nchi, Mtafiti mshiriki wa ESRF, Abdallah Henku aki...Read more »
Polisi mkoani Morogoro, wameanza upelelezi wa tukio la mwanamke mmoja, Amina Mbunda kujifungua nje ya kituo cha Polisi, Mang’ula Morogoro baada ya...Read more »
Kupitia safu yetu ya mahusiano, leo nimekuletea makala maalum hasa kwa wanawake kutokana na malalamiko ya wanawake wengi kuwapoteza waume zao. Ki...Read more »
kuzoeana baina ya wanandoa ni jambo zuri, kwa maana ya kila mmoja kumfahamu mwenzake, lakini kuzoeana huku kunaweza kuzalisha dharau hususani kwa...Read more »
Post a Comment
aprieztmkrdezign
218168578325095
Emoticon
Click to see the code! To insert emoticon you must added at least one space before the code.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.