0


UMOJA WA MAKANISA WILAYA YA LIWALE  MKOANI LINDI WAFANYA IBADA YA PAMOJA SIKU YA MWAKA MPYA 2018 WAKIIOMBEA WILAYA YA LIWALE NA TAIFA AMANI

Mkuu wa wilaya ya Liwale,Mhe.Sarah Chiwamba (wa pili kutoka kushoto) akiwa anafuatilia andiko (picha na Liwale Blog)
Mkuu wa wilaya ya Liwale,Mhe.Sarah Chiwamba  akiwa anafuatilia andiko kwenye kitabu cha bibilia


Viongozi mbalimbali kutoka kila makanisa yaliyopo wilayani Liwale waliudhulia ibada maalum leo januari mosi 2018 iliyofanyika uwanja wa michezo wa wilaya ya Liwale mkoani Lindi

 Dc akitoa sadaka

Post a Comment

 
Top