Katibu wa chama cha mapinduzi CCM mkoa wa RUVUMA AMINA IMBO amehapa kuwashukulia hatua kali wanachama wa chama hicho wanaojihusisha na utoaji rushwa wakati wa uchaguzi ,amesehayo wakati wa kuwachagua viongozi wa chama hicho katika ukumbi wa shule ya WASICHANA SONGEA habari kamili hii hapa video yake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment