0
 Picha inayohusiana
Kiongozi wa muungano wa upinzani Kenya wa National Super Alliance Raila Odinga amesema kuwa naye pia ataapishwa kuiongoza Kenya.
Amesisitiza kwamba hamtambui Bw Kenyatta kama rais wa Kenya.
Akihutubia wafuasi wake karibu na uwanja wa Jacaranda ambapo upinzani ulizuiwa kuandaa mkutano, amesema ataapishwa na mabaraza ya wananchi tarehe 12 Desemba.BBC

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top