0
Mzee mmoja kutoka Kenya aliyetambulika kama Mzee Kazungu Kandege Hamudi(74) amejiunga na elimu ya sekondari ili kujiondolea ujinga na kuepukana na dhana kuwa ni mchawi.
Mzee huyo amedahiliwa katika shule ya sekondari ya wavulana ya Ganze baada ya kupata jumla ya alama 134 katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi.

Post a Comment

 
Top