Mvua
zinazoendelea kunyesha wilayani Makete mkoani Njombe zimeendelea kuleta
usumbufu katika Barabara ya Makete Njombe, baada ya kifusi
kilichorundikwa barabarani kugeuka tope hali iliyopelekea Magari
Kukwama. Picha zote zinaonesha magari yaliyokwama katika kijiji cha Ikonda njia
panda ya kuelekea hospitali ya Consolata Ikonda leo desemba 6 asubuhi
Jitihada za kulivuta basi la Japanese lililokwama, Basi hilo linafanya safari zake kati ya Makete Njombe
Trekta likiwa limekwama
Jitihada za kulinasua basi hilo zikiendelea
Hali halisi ndiyo hiyo wadau
Trekta nalo likivutwa
Abiria wakiingia kwenye basi safari iendelee
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.