Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
amezungumza na waandishi wa habari kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa
Kipindupindu kwa baadhi ya maeneo nchini ambapo amesema ndani ya mwezi
November mwaka huu wagonjwa 458 wameripotiwa kuugua, sita wamekufa kwa
ugonjwa huo.
Aidha
Waziri Mwalimu amesema baadhi ya halmashauri nchini zimekuwa zikificha
taarifa za wagonjwa wa kipindupindu kwa kuogopa kuchukuliwa hatua na
Rais Magufuli.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.