Michuano
ya Mapinduzi Cup inaendelea kuchanja mbuga
ambapo hii leo hatua ya makundi inatarajiwa
kuhitimishwa kwa kupigwa michezo miwili
ya Kundi A, ambayo itapigwa majira ya saa 10:30 za jioni na ule wa Usiku
Hadi sasa hakuna timu yenye uhakika wa Nusu Fainali katika Kundi hilo, ambapo URA kutoka Uganda inaweza kufikisha pointi saba za Simba kana watashinda mchezo wa leo na Jang’ombe Boys na Taifa Jang’ombe wote wa Zanzibar wanaweza kumaliza na pointi tisa.
Simba itashuka Dimbani katika mchezo wa kwanza dhidi ya Jang'ombe Boys majira ya Saa 10:00 za jioni ambapo, mabingwa watetezi, URA kutoka Uganda, watashuka dimbani majira ya usiku kucheza dhidi ya Taifa Jang'ombe mchezo utakaopigwa majira ya Saa 2:30 usiku.
Katika
michezo hiyo ndio utakayo tarajiwa kutoa majibu ya nani anaweza akatinga katika
hatua ya nusu fainali kwa ajili ya kukumbana na washindi wa kundi Bambao tayari
wamekwishajulikana ambao ni Azam na Yanga
kwa upande wa simba wao wanaingia katika mchezo mgumu ambao wanahitaji hata
Post a Comment