AUDIO: DC ATAKA KUKOMESHA AJALI ZA BARABARANI MWAKA 2017 0 Kitaifa 08:50:00 A+ A- Print Email Mkuu wa wilaya ya Liwale,mhe.Sarah Chiwamba mkoani Lindi amewataka na kuwakumbusha madereva wa vyombo vya moto wilayani kufuata sheria za barabarani ili kupunguza ajali zinazosababishwa na uzembe.
Post a Comment