Chaki ni bidhaa inayohitajika kwa kasi sana katika soko la hapa Tanzania hasa kipindi hiki ambacho serikali imetilia mkazo sana juu ya kuinua elimu hapa nchini.Soko la chaki ni kubwa sana hapa nchini na mahitaji yanaongezeka kwa kasi sana.
Tafiti zinaonyesha kuna tani nyingi sana za chaki zinatumika sana kila siku kiasi kwamba zinaagizwa kutoka hata nje ya nchi.Kutokana na upatikanaji wa malighafi hapa nchini baadhi ya watu wameanza kujifunza kuendesha mradi huu kama ambavyo nimeandika kwenye kitabu hiki.
Ili kutengeneza chaki haihitaji uwe umesoma sana na degree ya chuo kikuu, wala huhitaji kuwa na diploma, kitu cha msingi ni kuwa na malighafi na kuwa na guide au kitabu kinachoelekeza step kwa step jinsi ya kutengeneza chaki hizo kama kitabu hiki kinavyoelekeza. Jipatie copy yako hapa na uanze mara moja.
Hauhitaji kwenda semina wala darasani na utashangaa jinsi ilivyo rahisi kutengeneza chaki hizo. Hauhitaji kuwa na mwanga kwani utafanya wakati wa mchana, hauhitaji generator kwani hauhitaji umeme hata kidogo.
Nakuhakikishia hutakosa soko, hebu fikiria kuna nusery ngapi, kuna shule ngapi hapo ulipo, shule za msingi na hata sekondari, vyuo, n.k. kitabu hiki kitakukuonyesha jinsi ya kufanya katika mradi huu.
Baada ya kusoma kitabu hiki na ukashindwa kuweza kutengeneza chaki basi nitakurudishia pesa yako na hutakaa uelewe tena.Kitabu hiki kipo katika mfumo wa PDF yaani nakala TETE ambayo unaweza kusoma kwenye simu yako au kompyuta yako. Kama utahiyaji copy yako tutakutumia kwenye simu yako kwa njia ya E-mail au Whatsapp.Utalipia Sh. 5000/- na tutakutumia muda huo huo. KARIBU SANA..
Pia unaweza kuangalia video hii nimeelezea hatua zote za jinsi ya kutengeneza chaki kwa njia rahisi kabisa.
naomba kuuliza malighafi kama plaster of paris kwa ajili ya chaki nitapata wap 0713867143
ReplyDeleteNahitaji kitabu cha mafunzo.
ReplyDeletenahitaji kitabu Cha mafunzo
ReplyDeleteChokaa yaweza kutengeneza chaki?
ReplyDeleteVP maligafi ya chalk garama yake ikoje n kubwa au vp
ReplyDelete