Bado tatizo la uvuvi haramu limetajwa
kushika hatamu katika baadhi ya maeneo kisiwani Zanzibar licha ya Serikali na
mamlaka zinazohusika na dhamana ya masuala ya utunzaji wa hifadhi ya bahari
kupiga vita kuondoa kadhia hiyo.
Akizungumza na liwale blog, Khalfan
amefahamisha kuwa hifadhi hiyo kwa kushirikiana na kikosi cha askari wa
baharini KMKM na kikosi cha marine cha jijini Dar-es-salaam hivi karibubi
walifanya doria katika hifadhi ya Minai na kufanikiwa kukamata baadhi ya vifaa
vinavyotumika kwenye uvuvi haramu ikiwemo boti moja aina ya vaiba,
chupa za gesi 9, mashine 2, viatu pear 4 pamoja na vitu vidogo vidogo.
Pamoja na hayo, ametoa onyo kuchukuliwa
hatua za kisheria kwa mtu atakaekamatwa akifanya shughuli za uvuvi haramu
katika hifadhi hiyo.

Post a Comment