Zimbabwe.
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars November 13 2016 itacheza dhidi ya
timu ya taifa ya Zimbabwe katika mchezo wa kirafiki, Taifa Stars
itacheza mchezo huo wa kirafiki katika mji wa Harare
Leo November 4 2016 yametajwa majina 24 ya wachezaji watakaiongoza
Tanzania kucheza dhidi ya Zimbabwe, majina yote 24 yakiongozwa na
nahodha wao Mbwana Samatta yamechaguliwa na kocha mkuu Charles Boniface
Mkwasa.
Post a Comment