Mchezaji winga wa Algeria Riyad Mahrez ambaye aliisaidia klabu ya
Leicester kushinda kombe la ligi kuu ya Uingereza msimu uliopita, ndiye
mchezaji pekee kutoka Afrika kujumuishwa katika kundi la wachezaji
wanaowania tuzo la mchezaji bora duniani.
Atang'ang'ania tuzo hilo pamoja na manyota Lionel Messi na Cristiano Ronaldo. Mshindi atatangazwa tarehe 9 mwezi Januari.
Mahrez pia amejumuisha kung'ang'ania tuzo la mchezaji bora la Ballon D'Or pamoja na Pierre-Emerick Aubameyang wa Gabon.

Post a Comment