Naibu Waziri wa TAMISEMI Selemani Jaffo..
Naibu Waziri wa TAMISEMI Selemani Jaffo asema wahitimu shahada za
sayansi ambao si walimu kupatiwa mafunzo maalum wakafundishe kwenye
shule zenye uhaba wa walimu wa sayansi sehemu mbalimbali nchini.
Ikiwa ni sehemu ya malengo ya serikali ya awamu ya tano ya kupambana na tatizo la uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi nchini.
Ikiwa ni sehemu ya malengo ya serikali ya awamu ya tano ya kupambana na tatizo la uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi nchini.
Post a Comment