0

Angalia Video kipya ya Jay Star na Nas B kinaitwa "Ndani ya Moyo" inayopatikana kwenye Youtube. 
Jay Star ni Msanii anayekuja kwa kasi kubwa sana katika Mziki wa Bongo Fleva na kwa bahati mbaya mpaka sasa amekosa usimamizi ulio makini utakao mwezesha kufika mbali kimuziki kama upo tayari kuweza kumsapoti kimziki basi wasiliana naye kwa namba hizi 0765754842 / 0719093116... Pia kama unashughuli yako unaweza kumtafuta

Angalia kichupa hichi cha Jay Star na Nas B " Ndani ya Moyo" ..

Post a Comment

 
Top