0

Timu 8 zilizoingia katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Alizeti cup inayofanyika wilaya ya Liwale mkoani Lindi kutoka katika kanda 4 kama zifuatayo.

kanda ya Kibutuka ni timu ya KITOGORO FC na KIBUTUKA FC
Kanda ya Mihumo ni timu ya SUPER STAR na MIHUMO CITY
Kanda ya Makata ni timu ya NEW BOY na KIGWEMA FC
Kanda ya Liwale mjini ni timu ya HAWILI FC na SIDO FC

Agosti 30 kutakuwa na mchezo mmoja kati ya HAWILI FC dhidi ya KIBUTUKA FC mchezo utakaotimua vumbi uwanja wa wilaya ya Liwale majira ya saa 10 jioni.

Post a Comment

 
Top