0


Mtu mmoja ambaye hakufahamika jina lake ametaka kujiua kwa kujitupa chini baada ya kupanda kwenye Daraja la Ubongo kituo cha mabasi ya Mkoa.

Mtu huyo ambaye hakufahamika kama ni mgonjwa wa akili au kachoka kuishi tu amekuwa ni kituko katika eneo hilo la Ubungo baada ya kutaka kujirusha kwenye Daraja kwa lengo la kujiua. 

Hata hivyo haikufahamika kilicho msibu mtu huyo mpaka akaamua kutaka kujiua, Hata hivyo Polisi walifika Eneo la Tukio na kufanikiwa kumshusha Chini na kumpeleka katika kituo cha polisi Urafiki..



Post a Comment

 
Top