Hatua yao inafuatia viongozi wengine wa Republican kutangaza msimamo wao kuwa hawatampigia kura Bw Trump. Ifuatayo ni orodha yao:
- Barbara Bush, Mke wazamani wa rais
- Jeb Bush, governor wa zamani wa Florida , na mgombea wa urais 2016
- William Cohen, Waziri wa zamani wa ulinzi
- Jeff Flake, Seneta wa Arizona
- Lindsey Graham, seneta wa South Carolina , na mgombea wa urais 2016
- Larry Hogan, gavana wa Maryland
- John Kasich, gavana wa Ohio, na mgombea wa urais 2016
- Mark Kirk, seneta wa Illinois
- Mitt Romney, gavana wa zamani wa Massachusetts, na ambae pia aliteuliwa kama mgombea wa urais 2012 kwa tiketi ya Republican
- Ileana Ros-Lehtinen, bunge wa baraza la congress, jimbo la Florida
- Ben Sasse,seneta wa Nebraska
Post a Comment