Mkurugenzi wa bank ya posta akiwa na kaimu mkuu wa mkoa wa Lindi
Shaibu Ndemanga wakati mkurugenzi huyo alipotembelea shule ya
sekondali Lindi iliyoungua moto na kutoa mchango wa shilingi milioni 5
MKURUGENZI
MTENDAJI WA BENKI YA POSTA TANZANIA, SABASABA MUSHINGI, AKIKABIDHI HUNDI
YA SHILINGI MILIONI 5 KWA KAIMU MKUU WA MKOA WA LINDI SHAIBU NDEMANGA
KWA AJILI YA KUCHANGIA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI LINDI Watendaji wa bank ya posta wakiwa na watendaji wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Lindi wakiwa eneo la shule sekondari Lindi ambayo iliungua moto hv karibu kushoto ni afisa habari banki hiyo NOVES MOSES
Watendaji wa bank ya posta wakiwa na watendaji wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Lindi wakiwa eneo la shule sekondari Lindi ambayo iliungua moto hv karibu kushoto ni afisa habari banki hiyo NOVES MOSES
Katibu tawala mkoa wa Lindi Ramadhani kaswa akiwa na kaimu mkuu wa mkoa Shaibu Ndemanga na wafanyakazi wa banki ya posta
Mkurugenzi wa bank ya posta Tanzania SABASABA MUSHINGI, akisalimiana na katibu tawala Mkoa wa Lindi Ramadhani kaswa wakati alipotembelea mkoani humo kuanglia Mahafa ya shule ya sekondari Lindi jana
Post a Comment