Hali sio nzuri kabisa katika maeneo ya k,koo hasa mtaa wa Kongo na Agrey
Wamachinga wachoma matairi na kusababisha hali ya taaruki katika maeneo
hayo..
Hali hii imetokea baada ya Polisi wa jiji kuwazuia wamachinga kufanya
biashara katika maeneo hayo na kupelekea Baadhi ya wamachinga kukamatwa
na wengine kunyang'anywa malizao ndipo wakaamua kuchoma matairi na
kufanya vurungu hizo..ANGALIA VIDEO HAPA
Post a Comment