Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), inawatangazia waliokuwa watumishi wa masharti ya mkataba ambao mikataba yao ilisitishwa tangu tarehe 07 Machi 20L6, kwamba ofisi itaanza kufanya malipo ya madai yao kuanzia Jumatano tarehe 15 hadi Ijumaa 17 Juni 20L6. Aiona maiipo yatafanyika kuanzia saa 3:00 asubuhi kwenye ofisi za NIDA jengo la BMTL na ofisi ya NIDA Zanzibar Mifuko yote ya Hifadhi za jamii ambayo inaidai Mamlaka malimbikizo ya makato ya watumishi hawa, malipo yanaanza kufanyika kuanzia sasa hadi Jumanne tarehe 14 Juni 20L6. Hivyo mnaombwa kuwasilisha ankara ya madai ili malipo yafanyike Utaratibu wa malipo ni kama ulivyoainishwa hapa chini. Fika na mkataba wako (original) na karatasl yenye kuthibitisha uhakiki wa taarifa zako uliyokabidhiwa siku ya zoezi la uhakiki
soma zaidi
Post a Comment