0

Klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya imetangaza good news kw mashabiki na wapenzi wa klabu yao, Mbeya City ambayo inafanya mikakati ya kujenga upya kikosi chake, imetangaza kuingia mkata wa dhamini wa miaka miwili na kampuni ya Binslum Tyre kupitia Battery za RB.
20160623_160408
Mkataba wa miaka miwili waliosaini Mbeya City na kampuni ya Binslum Tyre kupitia Battery za RB unathamani ya Tsh Milioni 360, hivyo msimu ujao tutaendele kuwaona Mbeya City wakiendelea kuvaa jezi zenye nembo ya RB Battery kama kawaida.

Post a Comment

 
Top