SEHEMU YA TATU.
Huku bado nikiwa kimya vile mdomo wangu ulishindwa hata kutamka neno lolote
mbele ya Mwajabu, nilishangaa tu mikono ya Mwajabu ikiwa imekamatia kiuno
changu vizuri ikiwa ananivuta kuelekea kwenye chumba changu. Hata sikuelewa
kinaenda kutokea nini?
Wakati ule nilijikuta nipo chini huku juu ya mwili wangu tayari ulishakuwa
umetawaliwa vyema na wake mwili kama vile anapiga mbizi kwenye swimming pool.
Ajabu Mwajabu alininyonya mdomo wangu kwa nguvu, hapo tena akili yangu
ilishaanza kupotea nikajikuta nipo dunia nyingine ya mautamu.
Nilihisi utamu kila alipojaribu kutalii kwenye kila upande wa mwili wangu.
Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kufanya mchezo ule pengine tangia
nilipojitambua. Lakini kwa upande wake Mwajabu alionekana yuko njema tofauti na
nilivyo mimi.
Muda mchache tu kutokana na maufundi aliyonionesha nilijikuta na mimi naenda
sawa na mchezo, utamu nilikuwa nikiupata yamkini hata Asali haikuwa ikitia
mguu, hata kidogo. Nilitamani kuwa naye muda wote ndani mule tupeane utamu tu
mwanzo mwisho. Hakika utamu alionesha Mwajabu sikuwa tayari kumpoteza kabisa
kwenye maisha yangu.
Kila moja upande wake tulikuwa tumeridhika na hali ya mchezo ule, nilimsifia
Mwajabu kutokana na mambo aliyonipa kwa siku ile huku nikijiapiza pendo langu
halitatoka kwa mtu mwingine zaidi yake.
Si mimi tu niliyeonekana kukubali ule mchezo, hata yeye Mwajabu alinisifia
kuwa nimejariwa fimbo na ama kweli inachapa. Tena si kwa kawaida hata ingekuwa
nyoka wa kiasi gani inaweza kupoteza uhai wake muda mfupi tu. Mwajabu alijikuta
akiniambia hayo huku akionesha tabasamu lake waziwazi kwangu. Nilijihisi
nimekuwa mtu wa bahati sana. Nilishasahau kuwa muda si mrefu Mzee wake anaweza
kumwozesha kwa mtu mwingine.
______________
Kigiza cha asubuhi kilishaanza kupotea kuikaribisha siku mpya iliyojaa nuru
ndani yake, hakukuwa hata moja kati ya Wanakijiji wa Tangeni aliyeamini kuwa
angekuwa hai kutokana na hali ilivyokuwa punde tu ilipokatika Mvua ambayo
ilinyesha kwa siku saba mfululizo, na mambo ya kutisha ndani ya usiku wa siku
ule hakuna hata mmoja aliyekuwa akiamini kuwa yuko salama.
Hali ilizidi kuwa ngumu, hakuna hata aliyethubutu kulitaja jina la Mzee
Shabani, uchawi wake ulikuwa ni zaidi ya uchawi na Wachawi wote waliowahi
kutokea kipindi cha nyuma baada ya matatizo kama yale kuwatokea Wanakijiji,
lakini hii ilikuwa ni kiboko kabisa.
Baada ya wiki kama moja hali ilitulia kidogo, matukio ya ajabu yalipungua,
tofauti kabisa na mwanzoni. Kidogo iliwasahulisha Wanakijiji machungu, hata
hawakujua kuwa Mzee Shabani alikuwa yu sehemu gani maana mahali ilipo nyumba
yake hakukuwa na kitu chochote kilichoonekana zaidi ya shimo tu ilikuwepo siku
kadhaa baada ya upotevu wa wale vijana.
Siku kadhaa baada ya matukio ya ajabu kupotea hali ya kijiji ilitulia
kabisa, lakini usiku mmoja baada ya siku kumi tu ya yale yote kutokea,
vilisikia vitu vya ajabu sana katika kila mahali. Ilikuwa ni hatari tofauti
kabisa na mwanzo, hali ilibadilika ghafla na kuwa si ya kawaida. Hali ya
kugofya zaidi ilitanda ndani ya kijiji.
Kelele za kuomba msaada zilisikika kila pande za Nyumba nyingi ndani ya
kijiji kile,
"Mama Mama nakufa, toba. Mungu nisaidie.” Zilisikika huku zikifatiwa na
sauti zile za ajabu zikienda sambamba na miungurumo ya radi kana kwamba mvua
ilitaka kunyesha tena.
Ziliendelea kwa muda mrefu kidogo na hatimaye ukimya ukachukua nafasi ndani
ya kijiji kabla ya kusikia vilio kila pande. Vilio vile vilivyokuwa vikisika
wazi vilikuwa vimejaa uchungu, namna ya waliaji wenyewe walivyokuwa wakilia,
ilikuwa ikihuzunisha sana na kuogopesha mno. Vilio vya kwikwi vililindima mno,
lakini haikufanya baadhi ya wenye Nyumba zingine ambazo hazikukumbwa na balaa
lile kutoka kama ilivyo taratibu za kijiji kile wakiwa wamepata tatizo. Lakini
kilichokuwa kikitawala ni ukimya wa sauti za watu upande ule mwingine na kelele
za milango iliyokuwa kama ikihimarishwa kukabiliana na lile.
Usiku ulikuwa mrefu sana na hata palipokucha ilitumia muda sana watu kutoka
ndani ya Nyumba zao kufahamu lile lililokuwa likiendelea kutokana na ile hali
ilovyokuwa usiku wa kuamkia siku ile.
Habari za kusikitisha zilienea haraka ndani ya kijiiji pindi nuru iliporejea
tena kuikaribisha siku ile. Habari zilizofanya kuacha simanzi nzito ndani ya
kijiji kile huku ikiongeza machungu juu ya Mzee Shabani na familia yake. Lakini
cha kufanya hawakuwa nacho kwa muda ule hali ilizidi kuwa tete vifo
viliongezeka siku hadi siku huku baadhi ya Wanakijiji wakihama ndani ya kijiji
kile kusogea upande wa vijiji vingine. Zoezi lile likiwa la bahati nasibu maana
wengi wao walishia kufa njiani kutokana mauzauza njiani, paka mara simba watu
basi, ilimladi tu mambo ya ajabu tu kwao yote ni mateso kutoka kwa Mzee Shabani
ambaye chanzo hata hakijulikana kwa mara moja.
Mpaka pale takribani nusu ya wanakijiji walipopoteza maisha hali ile
iliwastua sana viongozi wakijiji wakiongozwa na Baba Jack ambaye alikuwa
Mwenyekiti wa kijiji kufanya mipango ya kumleta Mzazu wa Mzazu kwa mara
nyingine tena ndani ya kijiji cha Tangeni. Kupambana na hali ile mambo
yalifanyika haraka haraka ukiongozwa na waganga wa pale ndani ya kijiji na
hatimaye Mzazu alilejea ndani ya kijiji cha Tangeni kupambana na lile ila
safari hii aliamua kufanya kazi kwa namna tofauti hakuitaji vijana tena aliwaomba
viongozi wote kuhusika kwenye kazi ile ambayo aliipanga kufanyika usiku ule.
_____________
Kwa upande wangu namna alivyokuwa akinisifia Mwajabu nilizidi kupagawa
wakati nikifahamu ukali wa Mzee wake, ila nilijisemea tu kimoyo kimoyo kama
mwanae amenikubali na tunapendana hivi anaweza kurudisha posa ya mwanae
kutokana tu jinsi tulivyo.
Nilivuta pumzi ndefu huku nikimwangalia Mwajabu kwenye kile changu kitanda
hali iliyofanya Mwajabu kuniangalia kwa jicho la kunitamani tena, niliona raha
sana jicho la Mwajabu nilivyokuwa likiniangalia nilitamani kila siku liwe
linaniangalia vile kabla ya kuniswalika swali.
"Vipi mbona kama unawaza kitu Jack wangu." Swali lile liniingia
vizuri nakunitoa kule kwenye fikra dhidi yake nikimwangalia tena halafu
nikaanza kumwambia jambo,
"Unajua Mwajabu jinsi gani ninavyokupenda, si leo upendo wangu sikuzote
utabaki kwako. Simjui mwanamke mwingine zaidi yako, na sitamani mwingine,
ahhhhhhhhhh." Niligumia kidogo huku nikizungusha macho yangu kumwelekea
Mwajabu ambaye alikuwa sasa amenilalia kwenye kifua changu pindi naongea yale.
"Lakini Mwajabu suala la wewe kuchumbiwa linaniumiza kichwa utawezaje
kumshawishi Mzee Shabani kulikataa ilihali hali tayari amekubali kupokea posa
yako na wanasubiri tu muda muafaka wa ndoa yako? Eti.” Nilimaliza kuongea yale
huku ikifatiwa na maneno ya Mwajabu akiniambia kuwa atajua yeye nimwachie suala
lile.
Sikutaka kubisha jambo lile nilimwitikia kwa kichwa kuonesha nimekubali.
Tuliongea mengi chumbani mule zikifatiwa na ahadi nyingi za mapenzi,
kiukweli nilijisikia raha sana namna ya uongeaji wake, sauti iliyojaa visa vya
kimahaba, ilinifanya nijisikie nipo dunia nyingine, na hata hapo muda ulizidi
kwenda hakuna aliyoonekana kulijali hilo. Maongezi yalinoga kwelikweli, yaani
kama lisingekuwa lile jogoo kuwika muda ule, basi kigiza kingetufikia nipo na
Mwajabu ndani ya mule. Lakini mara nyingi mimi hupendelea kusikiliza ule
uwikaji wa jogoo huwa unanipa taarifa ya muda angalau hapo ulinipa taswira ya
muda kwenda, hivyo wakati ule niliona ni sahihi kwa Mwajabu kuwahi kurudi
Nyumbani kwao.
Harakaharaka Mwajabu alivaa nguo zake huku na mimi nikivaa zangu kumaliza
kule kuvaa kulienda sambamba na kufungua mlango wa chumbani kwangu, lakini cha
ajabu ile tunatoka tu mule ndani kuna kitu kilinistua kwenye mboni zangu.
Kana kwamba macho yangu yaliingia kitu hivi kwani uzito wa macho yangu kuona
mwanga mbele ulininitiza nilifikicha macho lakini bado hali ile ilikuwa bado
inaendelea.
“Mwajabu,“ Niliita nikifatiwa maneno yale yalikuwa yakitoa kwenye kinywa changu.
“Mwajabu macho yangu mazito, mpenzi sioni vizuri baby.”
“Unasemaje Jack?”
“Sioni vizuri Mwajabu.”
“Embu niangalie,”Mwajabu aliniambia haraka nilifanya vile nilishanga
akiyafikicha macho yangu na viganja vyake mara nuru ilirejea sawia ndani ya
mboni zangu, hali ile ilipotea haraka kama haikunitokea punde tu. “Vipi Jack
unaonaje mpenzi?”Aliniuliza Mwajabu huku akiwa amekamatia kiuno changu vizuri
kwa mahaba, nilijibu nipo sawa huku ikifatiwa na kicheko cha Mwajabu. Sikujua
kwanini ananicheka ila kwa vile nilikuwa sijiwezi kwa mambo aliyenionesha muda
mfupi na mimi nilijikuta nacheka tu.
Taratibu tuliendelea na safari ya kusindikizana njiani mule hadi nilipoona
panatosha, nilimuacha Mwajabu. Wakati huo tukipeana ahadi ya kuonana tena siku
inayofata nikiwa nafuraha isiyo nakifani maana sikutegemea kama safari yangu ya
mapenzi na Mwajabu ingeanza kwa namna ile.
Niliendelea kupiga hatua kuelekea kwenye kijumba changu nikiwa nachekacheka
hovyo njiani mule, kama ingekuwa napishana na mtu aliyekuwa amenizoea, basi
angehisi nimekuwa chizi ghafla. Lakini kwa jinsi nilivyokuwa, nisingejali. Ama
kweli penzi linanguvu mno, sikuwahi kuwa na furaha ndani ya moyo wangu kama
siku ile na hata pale nilipofika Nyumbani nilielekea chooni kuoga huku nikipiga
miluzi kama ndege, miluzi ambayo ilikuwa ikikonga kweli moyo wangu.
Dakika kadhaa niliweza kumaliza kuoga na kumaliza kule kulienda sambamba na
kuvaa na kutoka ndani ya chumba changu huku akili yangu ikiwa inawaza kuelekea
uwanjani kwenda kuangalia mazoezi kama siku zote ratiba yangu ilivyo.
Japo sikuwa na uwezo wa kucheza mpira, ila nilikuwa mpenzi sana wa mchezo
ule, kwangu mimi unaweza ukuninyima vitu vyote lakini si kutizama mpira.
Nilikuwa nikipenda sana mchezo wa mpira hivyo mida ya jioni ratiba yangu
ilikuwa lazima nisogee kwenye kiwanja cha kijiji huku ndio nilikuwa nikipata
burudani ya mpira pamoja na porojo porojo za vijana wengi wa kijiji pale.
Bado sehemu sehemu mbili iki kuweza kumalizia riwaya hii na baada ya hii inakuja ingine MPYA tarehe 20 mwezi huu usikubsli kuikosa.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.