Waziri
wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, akiwasilisha Bajeti ya Wizara
yake kwa mwaka wa Fedha 2016/2017, Bungeni Mjini Dodoma leo.
Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, (Kulia) akifurahia
jambo na Mbunge wa Viti Maalumu kutoka Zanzibar, Tauhida Cassian Galoss
Nyimbo, mara baada ya kuwasilishwa kwa Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo
kwa mwaka wa fedha 2016/2017 mjini Dodoma leo.
Waziri
wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, akiwa katika picha ya pamoja
na Viongozi waandamizi wa Wizara hiyo ambapo kulia kwake ni Naibu Katibu
Mkuu Dorothy Mwanyika na kushoto kwake ni naibu Katibu Mkuu Amina Hamis
Shaban.
Waziri
wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, akizungumza jambo na Mwandishi
wa habari wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotya katika viwanja vya
Bunge Mjini Dodoma mara baara ya kuwasilishwa kwa Bajeti ya Wizara hiy
Post a Comment