Bunge la 11 limeendelea Dodoma, katika kipindi cha maswali na majibu leo nakusogeza karibu na mbunge wa viti maalum ccm Juliana Shonza ambaye hajaridhishwa na kiasi cha riba za bank za Tanzania katika kuwasaidia wananchi wa kawaida.
Majibu yametolewa na Naibu Waziri wa Waziri wa afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Hamisi Kigwangalla
Post a Comment