Ajali imetokea Kibada Kigamboni leo, Picha iyo, Ajali imehusisha
gari aina ya MAHINDRA-SCOPIO, ilikuwa ikitokea Mji Mwema inaelekea
Kibada. Imevamia matofali yaliyo pembezoni mwa barabara mbele ya nyumba
ya ghorofa. Inasemekana gari hiyo ilibeba watu wa familia moja na
wamefariki watu 7 watoto 3 na watu wazima 4 katika ajali apa Kibada -
Kigamboni ni wahindi.
Post a Comment