April 28 2016 Mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi amekutana na wanahabari na kuzunguzia mambo kadhaa yanayohusu wilaya yake.
Miongoni
mwa vitu ambavyo mkuu huyo wa Wilaya amezungumzia ni pamoja na agizo la
Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli la kuwatoa katika mfumo wa mishahara watumishi hewa……
>>>“nimekuta
taarifa ya watumishi hewa 34 ambao walikuwa wameisababishia hasara
serikali ya zaidi ya Tsh milioni 512, nilivyoteuliwa kuwa mkuu wa wilaya
wiki moja iliyopita nimelifanyia kazi na kubaini watumishi hewa wapya
55” :-Ally Hapi
Post a Comment