|
Mshindi wa wa
Promosheni ya kwea pipa kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya
Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona
Machi mwaka huu Jamal Othman mkazi wa Lushoto, Tanga akikabidhiwa mfano
wa hundi toka kwa Meneja Promosheni wa Tigo Pesa, Mary Rutta na Mkuu
wa Idara ya Masoko ya Azam Media, Mgope Kiwanga katika mkutano wa
waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya Tigo Makumbusho jijini
Dar es salaam. |
|
Mshindi wa wa
Promosheni ya sespipa kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania
maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi
mwaka huu Ismail Salim mkazi wa Dar es salaam akikabidhiwa mfano wa
hundi toka kwa Meneja Promosheni wa Tigo Pesa, Mary Rutta na Meneja wa idara ya michezo Azam Media Baruan Muhuza katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya Tigo Makumbusho jijini Dar es salaam. |
|
Washindi wa wa
Promosheni ya sespipa kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania
maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi
mwaka huu wakiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa Tigo na Azam
Media katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya Tigo Makumbusho jijini Dar es salaam. |
Meneja Promosheni wa Tigo Pesa, Mary Rutta akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kutangazwa kwa washindi wawili wa wa
Promosheni ya Kwea pipa kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya
Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona
Machi mwaka huu
|
Waandishi wa habari wakichukua matukio wakati wa kutangaza Washindi wa wa
Promosheni ya sespipa kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania
maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi
mwaka huu. |
Post a Comment