Burundi imepiga marufuku umiliki wa laini mbili za simu kutoka kwa kampuni moja inayotoa huduma za mwasiliano ya simu.
Idhaa moja ya redio ya Bonesha FM imeripoti kuwa imepata taarifa hiyo kutoka kwa wizara ya fedha. Machafuko nchini humo yalianza mwezi Aprili mwaka
uliopita baada ya rais Pierre Nkurunziza kutangaza nia ya kuwania muhula
wa tatu.
Kampuni zinazotoa huduma za mawasiliano ya simu zimepewa kipindi cha miezi miwili kutekeleza sheria hiyo mpya.
Kampuni
hizo zitalazimika kusajili wamiliki wote wa laini za simu la sivyo
wataadhibiwa na faini ya takriban dola $3,000 kwa kila laini ambayo
itatumiwa pasi na kusajiliwa.
Sheria hii mpya imewekwa baada kutokea machafuko ya kisasa kwa takriban mwaka mmoja sasa. Kampuni hizo zitalazimika kusajili wamiliki wote wa
laini za simu la sivyo wataadhibiwa na faini ya takriban dola $3,000
kwa kila laini ambayo itatumiwa pasi na kusajiliwa.
Machafuko nchini humo yalianza mwezi Aprili mwaka
uliopita baada ya rais Pierre Nkurunziza kutangaza nia ya kuwania muhula
wa tatu.
Wapinzani wake wanasema kuwa hatua hiyo ya Nkurunziza
inakiuka katiba ya taifa inayomzuia rais kuongoza kwa zaidi ya miaka 10
ama mihula miwili.
Nigeria iliiadhibu kampuni ya mawasiliano ya
MTN faini ya dola bilioni 5.2 kwa kuendelea kuruhusu utumizi wa simu
ambazo hazijasajiliwa. Nigeria iliiadhibu kampuni ya mawasiliano ya MTN
faini ya dola bilioni 5.2 kwa kuendelea kuruhusu utumizi wa simu ambazo
hazijasajiliwa.
Rais Muhammadu Buhari aliilaumu MTN kwa kuruhusu
wapiganaji wa Boko Haram kutekeleza mashambulizi nchini humo kwa
kuruhusu laini za simu ambazo hazijasajiliwa kuendelea kutumika hata
baada ya ilani ya kutofanya hivyo.
Kupitia safu yetu ya mahusiano, leo nimekuletea makala maalum hasa kwa wanawake kutokana na malalamiko ya wanawake wengi kuwapoteza waume zao. Ki...Read more »
kuzoeana baina ya wanandoa ni jambo zuri, kwa maana ya kila mmoja kumfahamu mwenzake, lakini kuzoeana huku kunaweza kuzalisha dharau hususani kwa...Read more »
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionHuenda ndege zikatengezwa bila madirisha katika siku za usoni.
Kampuni ya ndege ya Emirates imezindua nd...Read more »
Image captionMaandamano yamefanyika mjini Nairobi siku ya Jumatatu kulalamika kuhusu tuhuma za ubakaji katika shule ya Moi Girls Nairobi
Walimu pamoj...Read more »
Operesheni ya mwisho ya Tundu Lissu imefanyika na kumalizika salama.
Lissu ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), alifanyiwa op...Read more »
Haki miliki ya pichaAFPImage captionBado muswada unahitaji kupitishwa na Rais wa Rwanda Paul Kagame kabla ya kuanza kufanya kazi.
Bunge nchini Rwanda...Read more »
Post a Comment
aprieztmkrdezign
218168578325095
Emoticon
Click to see the code! To insert emoticon you must added at least one space before the code.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.